Esther 4:13 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mara alimpelekea onyo hili: “Usidhani kwamba kwa kuwa upo ikulu wewe u salama zaidi kuliko Myahudi mwingine yeyote yule.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mordekai alirudisha jibu hili: “Usifikiri kwamba kwa sababu uko katika nyumba ya mfalme wewe pekee katika Wayahudi wote utapona.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Mordekai akawaagiza wampelekee Esta jibu la kusema, Wewe usijidhanie kuwa wewe utaokoka nyumbani mwa mfalme, zaidi ya Wayahudi wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mara alimpelekea onyo hili: “Usidhani kwamba kwa kuwa upo ikulu wewe u salama zaidi kuliko Myahudi mwingine yeyote yule.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mordekai alirudisha jibu hili: “Usifikiri kwamba kwa sababu uko katika nyumba ya mfalme wewe mwenyewe katika Wayahudi wote utapona.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mordekai alirudisha jibu hili: “Usifikiri kwamba kwa sababu uko katika nyumba ya mfalme wewe pekee katika Wayahudi wote utapona.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mordekai akaagiza kumrudishia Esteri jibu la kwamba: Usijiwazie, ya kuwa kwa kukaa jumbani mwa mfalme utapona peke yako katika Wayuda wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Mordekai akawaagiza wampelekee Esta jibu la kusema, Wewe usijidhanie kuwa wewe utaokoka nyumbani mwa mfalme, zaidi ya Wayahudi wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akamutumia onyo hili: “Usizani kwamba kwa sababu upo katika nyumba ya kifalme wewe uko salama zaidi kuliko Muyuda mwingine yeyote.