Esther 4:15 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Esta alimpelekea Mordekai jibu hili:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Esta alituma jibu hili kwa Mordekai:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Esta akawatuma ili wamjibu Mordekai,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Esta alimpelekea Mordekai jibu hili:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Esta alituma jibu hili kwa Mordekai:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Esta alituma jibu hili kwa Mordekai:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Esteri akaagiza kumrudishia Mordekai jibu la kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Esta akawatuma ili wamjibu Mordekai,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Esteri akamupelekea Mordekayi jibu hili: