Esther 4:17 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mordekai akaenda zake na kufanya kama Esta alivyomwambia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Mordekai alienda zake na kutekeleza maagizo yote ya Esta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Mordekai akaenda zake, akafanya yote kama vile Esta alivyomwagiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mordekai akaenda zake na kufanya kama Esta alivyomwambia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Mordekai alikwenda zake na kutekeleza maagizo yote ya Esta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Mordekai alikwenda zake na kutekeleza maagizo yote ya Esta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Mordekai alipokwenda zake, akafanya yote, kama Esteri alivyomwagiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Mordekai akaenda zake, akafanya yote kama vile Esta alivyomwagiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Mordekayi akaenda zake na kufanya kama vile Esteri alivyomwambia.