Esther 4:2 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alikwenda mpaka penye lango la ikulu ya mfalme, lakini hakuweza kuingia kwa sababu hakuna mtu aliyeruhusiwa kuingia ikulu akiwa amevaa vazi la gunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alienda na kusimama nje ya lango la mfalme, kwa sababu hakuna yeyote aliyeruhusiwa kuingia akiwa amevaa magunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pia akafika hata mbele ya mlango wa mfalme; maana hakuna awezaye kuingia ndani ya mlango wa mfalme hali amevaa magunia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alikwenda mpaka penye lango la ikulu ya mfalme, lakini hakuweza kuingia kwa sababu hakuna mtu aliyeruhusiwa kuingia ikulu akiwa amevaa vazi la gunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alikwenda akasimama nje ya lango la mfalme, kwa sababu hakuna ye yote aliyeruhusiwa kuingia akiwa amevaa nguo za magunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alikwenda akasimama nje ya lango la mfalme, kwa sababu hakuna yeyote aliyeruhusiwa kuingia akiwa amevaa nguo za magunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo akaja mpaka hapo penye lango la mfalme, kwani mtu aliyevaa gunia hakuwa na ruhusa ya kuingia langoni kwa mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pia akafika hata mbele ya mlango wa mfalme; maana hakuna awezaye kuingia ndani ya mlango wa mfalme hali amevaa magunia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akakwenda mpaka kwenye mulango wa nyumba ya mufalme, lakini hakuweza kuingia kwa sababu hakuna mutu aliyeruhusiwa kuingia katika nyumba ya kifalme akiwa amevaa nguo ya gunia.