Esther 4:6 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hathaki alimwendea Mordekai uwanjani, mbele ya lango la ikulu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Hathaki alitoka nje kumwendea Mordekai kwenye uwanja ulio wazi wa mji mbele ya lango la mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi yule Hathaki akatoka nje kumwendea Mordekai kwenye uwanda wa mji ulipo mbele ya mlango wa mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hathaki alimwendea Mordekai uwanjani, mbele ya lango la ikulu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Hathaki alitoka nje kumwendea Mordekai kwenye uwanja ulio wazi wa mji mbele ya lango la mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Hathaki alitoka nje kumwendea Mordekai kwenye uwanja ulio wazi wa mji mbele ya lango la mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hataki akatoka, akamkuta Mordekai uwanjani mjini langoni kwa mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi yule Hathaki akatoka nje kumwendea Mordekai kwenye uwanda wa mji ulipo mbele ya mlango wa mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hataki akamwendea Mordekayi katika uwanja, mbele ya mulango wa nyumba ya kifalme.