Esther 4:7 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mordekai akamsimulia Hathaki yote yaliyokuwa yamempata, na kiasi kamili cha fedha ambayo Hamani alikuwa ameahidi kulipa katika hazina ya mfalme kama Wayahudi wote wangeangamizwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mordekai akamwambia kila kitu ambacho kimempata, pamoja na hesabu kamili ya fedha ambazo Hamani aliahidi kulipa katika hazina ya mfalme kwa ajili ya maangamizi ya Wayahudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Mordekai akamweleza yote yaliyompata, na hesabu ya fedha Hamani aliyoahidi kulipa katika hazina ya mfalme, ili Wayahudi waangamizwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mordekai akamsimulia Hathaki yote yaliyokuwa yamempata, na kiasi kamili cha fedha ambayo Hamani alikuwa ameahidi kulipa katika hazina ya mfalme kama Wayahudi wote wangeangamizwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mordekai akamwambia kila kitu ambacho kimempata, pamoja na hesabu kamili ya fedha Hamani alizoahidi kulipa katika hazina ya kifalme kwa ajili ya maangamizi ya Wayahudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mordekai akamwambia kila kitu ambacho kimempata, pamoja na hesabu kamili ya fedha ambazo Hamani aliahidi kulipa katika hazina ya mfalme kwa ajili ya maangamizi ya Wayahudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mordekai akamsimulia yote yaliyompata, hata hesabu ya fedha, Hamani alizozisema kwamba atazipima, azitie katika malimbiko ya mfalme, atakapowaangamiza Wayuda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Mordekai akamweleza yote yaliyompata, na hesabu ya fedha Hamani aliyoahidi kulipa katika hazina ya mfalme, ili Wayahudi waangamizwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mordekayi akamwelezea Hataki yote yaliyokuwa yamemupata, na kiasi kamili cha feza ambayo Hamani alikuwa ameahidi kulipa katika hazina ya mufalme kama Wayuda wote wangeangamizwa.