Esther 5:13 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini yote haya hayaniridhishi iwapo nitaendelea kumwona yule Myahudi Mordekai penye lango la ikulu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini haya yote hayanipi kuridhika iwapo ninaendelea kumwona yule Myahudi Mordekai akiketi kwenye lango la mfalme.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali haya yote yanifaa nini, pindi nimwonapo yule Mordekai, Myahudi, ameketi mlangoni pa mfalme?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini yote haya hayaniridhishi iwapo nitaendelea kumwona yule Myahudi Mordekai penye lango la ikulu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini haya yote hayanipi kuridhika iwapo ninaendelea kumwona yule Myahudi Mordekai akiketi kwenye lango la mfalme.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini haya yote hayanipi kuridhika iwapo ninaendelea kumwona yule Myahudi Mordekai akiketi kwenye lango la mfalme.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini haya yote hayanitoshei, nikimwona yule Myuda Mordekai, akikaa siku zote langoni kwa mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali haya yote yanifaa nini, pindi nimwonapo yule Mordekai, Myahudi, ameketi mlangoni pa mfalme?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini yote haya hayanifalii kitu ikiwa nitaendelea kumwona yule Muyuda Mordekayi kwenye mulango wa nyumba ya kifalme.”