Esther 5:3 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo mfalme akauliza, “Unataka nini Esta? Niambie unachotaka, nawe utapata — hata kama ni nusu ya ufalme wangu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha mfalme aliuliza, “Malkia Esta, ni nini? Ombi lako ni nini? Hata kama ni nusu ya ufalme, utapewa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme akamwambia, Malkia Esta, wataka nini? Nayo ni haja gani uliyo nayo? Utapewa hata nusu ya ufalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo mfalme akauliza, “Unataka nini Esta? Niambie unachotaka, nawe utapata — hata kama ni nusu ya ufalme wangu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha mfalme aliuliza, “Malkia Esta, ni nini? Ombi lako ni nini? Hata kama ni nusu ya ufalme, utapewa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mfalme aliuliza, “Malkia Esta, ni nini? Ombi lako ni nini? Hata kama ni nusu ya ufalme, utapewa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme akamwuliza: Una shauri gani, Esteri, mkewe mfalme? Unataka nini? Ingawa ni nusu ya ufalme, utapewa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme akamwambia, Malkia Esta, wataka nini? Nayo ni haja gani uliyo nayo? Utapewa hata nusu ya ufalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo mufalme akauliza: “Unataka nini Esteri? Uniambie unachotaka, nawe utapata – hata kama ni nusu ya ufalme wangu.”