Esther 5:6 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipokuwa wanakunywa divai, mfalme akamwuliza tena Esta: “Unataka nini? Niambie, nawe utapata. Ombi lako ni nini? Hata kama ni nusu ya ufalme wangu, utapewa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipokuwa wakinywa mvinyo mfalme akamuuliza Esta tena, “Sasa haja yako ni nini? Utapewa. Ombi lako ni nini? Hata nusu ya ufalme, utapewa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mfalme akamwambia Esta pale penye karamu ya divai, Dua yako ni nini? Nawe utapewa; na haja yako ni nini? Hata nusu ya ufalme utafanyiziwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipokuwa wanakunywa divai, mfalme akamwuliza tena Esta: “Unataka nini? Niambie, nawe utapata. Ombi lako ni nini? Hata kama ni nusu ya ufalme wangu, utapewa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipokuwa wakinywa mvinyo mfalme akamwuliza Esta tena, “Sasa haja yako ni nini? Utapewa. Ombi lako ni nini? Hata nusu ya ufalme, utapewa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipokuwa wakinywa mvinyo mfalme akamuuliza Esta tena, “Sasa haja yako ni nini? Utapewa. Ombi lako ni nini? Hata nusu ya ufalme, utapewa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipokunywa mvinyo, mfalme akamwuliza Esteri tena: Unataka nini? Utapewa. Unataka nini? Ingawa ni nusu ya ufalme, itafanyika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mfalme akamwambia Esta pale penye karamu ya divai, Dua yako ni nini? Nawe utapewa; na haja yako ni nini? Hata nusu ya ufalme utafanyiziwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipokuwa wanakunywa divai, mufalme akamwuliza tena Esteri: “Unataka nini? Uniambie, nawe utapata. Ombi lako ni nini? Hata kama ni nusu ya ufalme wangu, utapewa.”