Esther 5:7 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Esta akamjibu, “Ombi langu ni hili:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Esta akajibu, “Haja yangu na ombi langu ni hili:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Esta akajibu, na kusema, Dua yangu ni hii, na haja yangu ni hii,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Esta akamjibu, “Ombi langu ni hili:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Esta akajibu, “Haja yangu na ombi langu ni hili:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Esta akajibu, “Haja yangu na ombi langu ni hili:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Esteri akajibu akisema: Ninayoyaomba kwa kuyataka ni haya:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Esta akajibu, na kusema, Dua yangu ni hii, na haja yangu ni hii,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Esteri akamujibu: “Ombi langu ni hili: