Esther 6:12 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Mordekai akarudi kwenye lango la ikulu. Lakini Hamani akakimbilia nyumbani kwake, amejaa huzuni na amekifunika kichwa chake kwa aibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadaye Mordekai akarudi kwenye lango la mfalme. Lakini Hamani akakimbia nyumbani, akiwa amejaa huzuni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Mordekai akarudi kwenye mlango wa mfalme. Bali Hamani akaenda mbio nyumbani kwake, mwenye msiba, na kichwa chake kimefunikwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Mordekai akarudi kwenye lango la ikulu. Lakini Hamani akakimbilia nyumbani kwake, amejaa huzuni na amekifunika kichwa chake kwa aibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadaye Mordekai akarudi kwenye lango la mfalme. Lakini Hamani akakimbia nyumbani, akiwa amejaa huzuni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadaye Mordekai akarudi kwenye lango la mfalme. Lakini Hamani akakimbia nyumbani, akiwa amejaa huzuni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mordekai akarudi langoni pake kwa mfalme, lakini Hamani akaikimbilia nyumba yake kwa kusikitika, akawa amejifunika kichwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Mordekai akarudi kwenye mlango wa mfalme. Bali Hamani akaenda mbio nyumbani kwake, mwenye msiba, na kichwa chake kimefunikwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Mordekayi akarudi kwenye mulango wa nyumba ya kifalme. Lakini Hamani akakimbilia kwake, akijaa huzuni naye akifunika kichwa chake kwa ajili ya haya.