Esther 6:14 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipokuwa bado wanaongea hayo, matowashi wa mfalme wakafika hima kumchukua Hamani kwenda kwenye karamu ya Esta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipokuwa bado wakizungumza naye, matowashi wa mfalme wakaja na kumharakisha Hamani aende katika karamu aliyoiandaa Esta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata walipokuwa katika kusema naye, wasimamizi-wa-nyumba wa mfalme walifika, wakahimiza kumleta Hamani katika karamu ile aliyoiandaa Esta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipokuwa bado wanaongea hayo, matowashi wa mfalme wakafika hima kumchukua Hamani kwenda kwenye karamu ya Esta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipokuwa bado wakizungumza naye, matowashi wa mfalme wakaja na kumharakisha Hamani aende katika karamu aliyoiandaa Esta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipokuwa bado wakizungumza naye, matowashi wa mfalme wakaja na kumharakisha Hamani aende katika karamu aliyoiandaa Esta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipokuwa wangali wakisema naye, wakafika watumishi wa nyumbani wa mfalme, wakamhimiza Hamani, aje upesi kula karamu, Esteri aliyoifanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata walipokuwa katika kusema naye, wasimamizi-wa-nyumba wa mfalme walifika, wakahimiza kumleta Hamani katika karamu ile aliyoiandaa Esta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipokuwa bado wanaongea juu ya hayo, matowashi wa mufalme wakafika kumutwaa Hamani kwenda kwenye karamu ya Esteri.