Esther 6:8 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
yafaa watumishi wa mfalme walete mavazi safi ya kitani aliyovaa mfalme na farasi wake mwenyewe,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
aletewe joho la kifalme ambalo mfalme ameshalivaa na farasi ambaye mfalme alishampanda, ambaye amevikwa taji la kifalme kichwani mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na aletewe mavazi ya kifalme ambayo mfalme amezoea kuyavaa, na farasi ambaye mfalme humpanda mwenyewe, ambaye ametiwa taji ya kifalme kichwani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
yafaa watumishi wa mfalme walete mavazi safi ya kitani aliyovaa mfalme na farasi wake mwenyewe,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
aletewe joho la kifalme ambalo mfalme ameshalivaa na farasi ambaye mfalme alishampanda, ambaye amevikwa taji ya kifalme kichwani mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
aletewe joho la kifalme ambalo mfalme ameshalivaa na farasi ambaye mfalme alishampanda, ambaye amevikwa taji ya kifalme kichwani mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na walete nguo ya kifalme, mfalme aliyoivaa, na farasi, mfalme aliyempanda, aliyevikwa kichwani pake kilemba cha kifalme!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na aletewe mavazi ya kifalme ambayo mfalme amezoea kuyavaa, na farasi ambaye mfalme humpanda mwenyewe, ambaye ametiwa taji ya kifalme kichwani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
inafaa watumishi wa mufalme walete nguo safi ya kitani mufalme aliyovaa na farasi wake mwenyewe,