Esther 7:2 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika siku ya pili, walipokuwa wanakunywa divai, mfalme akamwuliza tena Esta, “Sasa, malkia Esta, unataka nini? Niambie, nawe utapata. Ombi lako ni nini? Hata kama ni nusu ya ufalme wangu, utapewa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipokuwa wakinywa mvinyo katika siku ya pili, mfalme akauliza tena, “Malkia Esta, ni nini haja yako? Utapewa. Ombi lako ni nini? Hata nusu ya ufalme, utapewa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme akamwambia Esta tena siku ya pili pale pale penye karamu ya divai, Malkia Esta, dua yako ni nini? Nawe utapewa; na haja yako ni nini? Hata nusu ya ufalme utafanyiziwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika siku ya pili, walipokuwa wanakunywa divai, mfalme akamwuliza tena Esta, “Sasa, malkia Esta, unataka nini? Niambie, nawe utapata. Ombi lako ni nini? Hata kama ni nusu ya ufalme wangu, utapewa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
walipokuwa wakinywa mvinyo katika siku ya pili, mfalme akauliza tena, “Malkia Esta, ni nini haja yako? Utapewa. Ombi lako ni nini? Hata nusu ya ufalme, utapewa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipokuwa wakinywa mvinyo katika siku ya pili, mfalme akauliza tena, “Malkia Esta, ni nini haja yako? Utapewa. Ombi lako ni nini? Hata nusu ya ufalme, utapewa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipokunywa mvinyo, mfalme akamwuliza Esteri nayo siku hiyo ya pili: Unaomba nini, Esteri, mkewe mfalme? Utapewa. Unataka nini? Ingawa ni nusu ya ufalme, itafanyika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme akamwambia Esta tena siku ya pili pale pale penye karamu ya divai, Malkia Esta, dua yako ni nini? Nawe utapewa; na haja yako ni nini? Hata nusu ya ufalme utafanyiziwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika siku ya pili, walipokuwa wanakunywa divai, mufalme akamwuliza tena Esteri: “Sasa, malkia Esteri, unataka nini? Uniambie, nawe utapata. Ombi lako ni nini? Hata kama ni nusu ya ufalme wangu, utapewa.”