Esther 8:12 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jambo hili lingefanyika katika mikoa yote ya mfalme Ahasuero, mnamo siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili, yaani Adari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ambayo iliwekwa kwa Wayahudi kufanya hili katika majimbo yote ya Mfalme Ahasuero ilikuwa siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili, yaani mwezi wa Adari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
siku moja, katika majimbo yote ya mfalme Ahasuero, yaani, siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili, ndio mwezi wa Adari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jambo hili lingefanyika katika mikoa yote ya mfalme Ahasuero, mnamo siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili, yaani Adari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ambayo iliwekwa kwa Wayahudi kufanya hili katika majimbo yote ya Mfalme Ahusuero ilikuwa siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili, yaani mwezi wa Adari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ambayo iliwekwa kwa Wayahudi kufanya hili katika majimbo yote ya Mfalme Ahasuero ilikuwa siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili, yaani mwezi wa Adari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yafanyike siku moja katika majimbo yote ya mfalme Ahaswerosi, ndio siku ya kumi na tatu katika mwezi wa kumi na mbili, ndio mwezi wa Adari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
siku moja, katika majimbo yote ya mfalme Ahasuero, yaani, siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili, ndio mwezi wa Adari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jambo hili lingefanyika katika majimbo yote ya mufalme Ahasuero, katika siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili, ni kusema Adari.