Esther 8:13 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nakala za tangazo hili ambalo lilitolewa kama sheria katika kila mkoa zilisambazwa kwa kila mtu katika kila mkoa, ili Wayahudi wajiandae kulipiza kisasi siku hiyo ifikapo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nakala ya tangazo ilikuwa itolewe kama sheria katika kila jimbo na iweze kujulikana kwa watu wa kila taifa, ili Wayahudi wawe tayari siku hiyo kulipiza kisasi kwa adui zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nakili ya andiko, ya kupigwa mbiu katika kila jimbo, ilitangazwa kwa mataifa yote, na kwa Wayahudi, wawe tayari siku ile ile kujilipiza kisasi juu ya adui zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nakala za tangazo hili ambalo lilitolewa kama sheria katika kila mkoa zilisambazwa kwa kila mtu katika kila mkoa, ili Wayahudi wajiandae kulipiza kisasi siku hiyo ifikapo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nakala ya tangazo ilikuwa itolewe kama sheria katika kila jimbo na iweze kujulikana kwa watu wa kila taifa, ili kwamba Wayahudi wawe tayari siku hiyo kulipiza kisasi kwa adui zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nakala ya tangazo ilikuwa itolewe kama sheria katika kila jimbo na iweze kujulikana kwa watu wa kila taifa, ili kwamba Wayahudi wawe tayari siku hiyo kulipiza kisasi kwa adui zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwandiko wa pili wa hizo barua ukatangazwa katika kila jimbo moja kuwa amri iliyotolewa na mfalme, watu wote pia wakaelezwa vema, Wayuda wapate kuwa tayari siku hiyohiyo kujilipiza kwa adui zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nakili ya andiko, ya kupigwa mbiu katika kila jimbo, ilitangazwa kwa mataifa yote, na kwa Wayahudi, wawe tayari siku ile ile kujilipiza kisasi juu ya adui zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mifano ya tangazo hili ambalo lilitolewa kama sheria katika kila jimbo ilisambazwa kwa kila mutu katika kila jimbo, kusudi Wayuda wajitayarishe kulipiza kisasi siku hiyo itakapofika.