Esther 8:14 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa amri ya mfalme, matarishi waliopanda farasi wenye nguvu waendao kasi, waliondoka mbio. Tangazo hili pia lilitolewa katika mji mkuu, Susa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Matarishi, wakiwa wamepanda farasi wa kifalme, walitoka mbio wakichochewa na agizo la mfalme. Tangazo lilitolewa pia katika ngome ya mji wa Shushani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Matarishi wakaondoka, wamepanda wanyama wepesi sana waliotumika kwa huduma ya mfalme, huku wakihimizwa na kusukumizwa kwa amri ya mfalme; kukapigwa mbiu huko Shushani ngomeni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa amri ya mfalme, matarishi waliopanda farasi wenye nguvu waendao kasi, waliondoka mbio. Tangazo hili pia lilitolewa katika mji mkuu, Susa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Matarishi wakiwa wamepanda farasi wa kifalme walitoka mbio wakichochewa na agizo la mfalme. Tangazo lilitolewa pia katika ngome ya mji wa Shushani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Matarishi, wakiwa wamepanda farasi wa kifalme, walitoka mbio wakichochewa na agizo la mfalme. Tangazo lilitolewa pia katika ngome ya mji wa Shushani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wapiga mbio waliopanda farasi wale wepesi wa wakuu wakatoka upesi na kujihimiza kwa ajili ya lile neno la mfalme. Namo mjini mwa Susani, mlimokuwa na jumba la mfalme, ile amri ya mfalme ikatangazwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Matarishi wakaondoka, wamepanda wanyama wepesi sana waliotumika kwa huduma ya mfalme, huku wakihimizwa na kusukumizwa kwa amri ya mfalme; kukapigwa mbiu huko Shushani ngomeni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa amri ya mufalme, wajumbe waliopanda juu ya farasi wa kifalme wenye nguvu wanaokimbia mbio, wakaondoka mbio. Tangazo hili vilevile lilitolewa katika muji mukubwa Susani.