Esther 8:4 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme akamnyoshea Esta fimbo yake ya dhahabu, naye Esta akasimama na kusema,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha mfalme alimnyooshea Esta fimbo yake ya utawala ya dhahabu naye aliinuka na kusimama mbele yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo mfalme alipomnyoshea Esta fimbo yake ya dhahabu. Basi Esta akaondoka, akasimama mbele ya mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme akamnyoshea Esta fimbo yake ya dhahabu, naye Esta akasimama na kusema,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha mfalme alimnyoshea Esta fimbo yake ya utawala ya dhahabu naye aliinuka na kusimama mbele yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mfalme alimnyooshea Esta fimbo yake ya utawala ya dhahabu naye aliinuka na kusimama mbele yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme alipompungia Esteri kwa bakora yake ya dhahabu, Esteri akainuka, asimame mbele ya mfalme,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo mfalme alipomnyoshea Esta fimbo yake ya dhahabu. Basi Esta akaondoka, akasimama mbele ya mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme akamunyooshea Esteri fimbo yake ya zahabu, naye Esteri akasimama na kusema: