Esther 8:6 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana, ninawezaje kuvumilia kuona watu wangu wanaangamizwa na jamaa zangu wanauawa?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana nitawezaje kuvumilia kuona maafa yakiwapata watu wangu? Nitawezaje kuvumilia kuona maangamizi ya jamaa zangu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana niwezeje kuyaona mabaya yatakayowajia watu wangu? Au niwezeje kuyatazama maangamizo ya jamaa zangu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana, ninawezaje kuvumilia kuona watu wangu wanaangamizwa na jamaa zangu wanauawa?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana nitawezaje kuvumilia kuona maafa yakiwapata watu wangu? Nitawezaje kuvumilia kuona maangamizi ya jamaa yangu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana nitawezaje kuvumilia kuona maafa yakiwapata watu wangu? Nitawezaje kuvumilia kuona maangamizi ya jamaa yangu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani nitawezaje kuyatazama hayo mabaya yatakayowapata wenzangu wa ukoo? Tena nitawezaje kuutazama mwangamizo wa ukoo wangu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana niwezeje kuyaona mabaya yatakayowajia watu wangu? Au niwezeje kuyatazama maangamizo ya jamaa zangu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana, ninaweza namna gani kuvumilia kuona watu wangu wanaangamizwa na wandugu zangu wanauawa?”