Esther 9:10 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wana kumi wa Hamani mwana wa Hamedatha, adui ya Wayahudi. Hata hivyo, hawakuteka nyara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wana kumi wa Hamani mwana wa Hamedatha, adui wa Wayahudi. Lakini hawakuchukua nyara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wana kumi wa Hamani bin Hamedatha, adui ya Wayahudi; walakini juu ya nyara hawakuweka mikono.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wana kumi wa Hamani mwana wa Hamedatha, adui ya Wayahudi. Hata hivyo, hawakuteka nyara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wana kumi wa Hamani mwana wa Hamedatha, adui wa Wayahudi. Lakini hawakuchukua nyara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wana kumi wa Hamani mwana wa Hamedatha, adui wa Wayahudi. Lakini hawakuchukua nyara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndio wana kumi wa Hamani, mwana wa Hamedata, aliyekuwa mpingani wao Wayuda; lakini mali zao hawakuziteka kwa mikono yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wana kumi wa Hamani bin Hamedatha, adui ya Wayahudi; walakini juu ya nyara hawakuweka mikono.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wana kumi wa Hamani mwana wa Hamedata, adui ya Wayuda. Hata hivyo, hawakunyanganya mali zao.