Esther 9:18 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Wayahudi wa mji mkuu wa Susa walikusanyika pia siku ya kumi na nne lakini hawakupumzika. Waliadhimisha siku ya kumi na tano kwa furaha na shangwe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wayahudi huko Shushani, hata hivyo, walikuwa wamekusanyika siku ya kumi na tatu na ya kumi na nne, pia siku ya kumi na tano walipumzika na kuifanya siku ya karamu na furaha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Wayahudi wa Shushani walikusanyika siku ya kumi na tatu ya mwezi huo, na siku ya kumi na nne pia; na siku ya kumi na tano ya mwezi uo huo wakapumzika, wakaifanya kuwa siku ya karamu na furaha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Wayahudi wa mji mkuu wa Susa walikusanyika pia siku ya kumi na nne lakini hawakupumzika. Waliadhimisha siku ya kumi na tano kwa furaha na shangwe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wayahudi huko Shushani, hata hivyo, walikuwa wamekusanyika siku ya kumi na tatu na ya kumi na nne, pia siku ya kumi na tano walipumzika na kuifanya siku ya karamu na furaha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wayahudi huko Shushani, hata hivyo, walikuwa wamekusanyika siku ya kumi na tatu na ya kumi na nne, pia siku ya kumi na tano walipumzika na kuifanya siku ya karamu na furaha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Wayuda waliokuwa Susani wakakusanyika siku ya kumi na tatu na siku ya kumi na nne, wakatulia siku ya kumi na tano, wakaifanya hiyo kuwa siku ya karamu na ya furaha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Wayahudi wa Shushani walikusanyika siku ya kumi na tatu ya mwezi huo, na siku ya kumi na nne pia; na siku ya kumi na tano ya mwezi uo huo wakapumzika, wakaifanya kuwa siku ya karamu na furaha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Wayuda wa muji mukubwa wa Susani wakakusanyika vilevile siku ya kumi na ine lakini hawakupumzika. Walisherehekea siku ya kumi na tano kwa furaha na shangwe.