Esther 9:20 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mordekai aliandika matukio haya yote. Kisha aliwaandikia barua Wayahudi wote waliokuwa katika utawala wa Ahasuero.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mordekai aliandika matukio haya, naye akapeleka barua kwa Wayahudi wote walio katika majimbo ya Mfalme Ahasuero, majimbo yaliyo mbali na karibu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Mordekai aliyaandika mambo hayo; naye akapeleka barua kwa Wayahudi wote waliokaa katika majimbo yote ya mfalme Ahasuero, waliokuwa karibu na waliokuwa mbali,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mordekai aliandika matukio haya yote. Kisha aliwaandikia barua Wayahudi wote waliokuwa katika utawala wa Ahasuero.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mordekai aliandika matukio haya, naye akapeleka barua kwa Wayahudi wote walioko katika majimbo ya Mfalme Ahusuero, majimbo yaliyo mbali na karibu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mordekai aliandika matukio haya, naye akapeleka barua kwa Wayahudi wote walioko katika majimbo ya Mfalme Ahasuero, majimbo yaliyo mbali na karibu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mordekai akayaandika maneno hayo yote akituma barua kwa Wayuda wote waliokaa katika majimbo yote ya mfalme Ahaswerosi, kwao waliokuwa karibu nako kwao waliokuwa mbali,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Mordekai aliyaandika mambo hayo; naye akapeleka barua kwa Wayahudi wote waliokaa katika majimbo yote ya mfalme Ahasuero, waliokuwa karibu na waliokuwa mbali,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mordekayi aliandika mambo haya yote. Kisha akaandika barua kwa Wayuda wote waliokuwa katika utawala wa Ahasuero.