Esther 9:21 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwataka kila mwaka waadhimishe sikukuu, siku ya kumi na nne na siku ya kumi na tano ya mwezi wa Adari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akiwataka kila mwaka washerehekee siku ya kumi na nne na ya kumi na tano ya mwezi wa Adari
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kuwaonya wazishike siku ya kumi na nne ya mwezi wa Adari, na siku ya kumi na tano yake, mwaka kwa mwaka,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwataka kila mwaka waadhimishe sikukuu, siku ya kumi na nne na siku ya kumi na tano ya mwezi wa Adari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
aliwataka kila mwaka washerehekee siku ya kumi na nne na ya kumi na tano ya mwezi wa Adari
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akiwataka kila mwaka washerehekee siku ya kumi na nne na ya kumi na tano ya mwezi wa Adari
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaagiza kuishika desturi hii ya kuzifanya siku ya kumi na nne na ya kumi na tano ya mwezi wa Adari, mwaka kwa mwaka,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kuwaonya wazishike siku ya kumi na nne ya mwezi wa Adari, na siku ya kumi na tano yake, mwaka kwa mwaka,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwaonya kila mwaka washike sikukuu, siku ya kumi na ine na siku ya kumi na tano ya mwezi wa Adari.