Esther 9:23 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Wayahudi walikubaliana kufanya kama walivyoanza na kama Mordekai alivyowaandikia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Wayahudi walikubali kuendeleza sherehe walizokuwa wamezianza, wakifanya lile Mordekai alilokuwa amewaandikia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao Wayahudi wakakubali kufanya kama walivyoanza, na kama Mordekai alivyowaandikia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Wayahudi walikubaliana kufanya kama walivyoanza na kama Mordekai alivyowaandikia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Wayahudi walikubali kuendeleza sherehe walizokuwa wamezianza, wakifanya lile Mordekai alilokuwa amewaandikia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Wayahudi walikubali kuendeleza sherehe walizokuwa wamezianza, wakifanya lile Mordekai alilokuwa amewaandikia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Wayuda walipoitikia kuendelea kuyafanya, waliyoyaanza hapo; ndiyo, Mordekai aliyowaandikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao Wayahudi wakakubali kufanya kama walivyoanza, na kama Mordekai alivyowaandikia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Wayuda wakakubaliana kufanya kama walivyoanza na kama vile Mordekayi alivyowaandikia.