Esther 9:26 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, waliita siku hizo Purimu, kutokana na neno puri yaani kura. Kwa sababu ya barua ya Mordekai na mambo waliyoyaona wenyewe na yale yaliyowapata,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Kwa hiyo siku hizi ziliitwa Purimu, kutokana na neno puri.) Kwa sababu ya kila kitu kilichoandikwa kwenye barua hii na kwa sababu ya yale waliyoyaona na yale yaliyowatokea,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo wakaziita siku hizo Purimu, kwa jina la Puri. Basi, kwa ajili ya maneno yote ya barua hiyo, na kwa yale waliyoyaona wenyewe juu ya jambo hilo, na mambo yenyewe yaliyowajia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, waliita siku hizo Purimu, kutokana na neno puri yaani kura. Kwa sababu ya barua ya Mordekai na mambo waliyoyaona wenyewe na yale yaliyowapata,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa hiyo siku hizi ziliitwa Purimu, kutokana na neno puri.) Kwa sababu ya kila kitu kilichoandikwa kwenye barua hii na kwa sababu ya yale waliyoyaona na yale yaliyowatokea,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Kwa hiyo siku hizi ziliitwa Purimu, kutokana na neno puri.) Kwa sababu ya kila kitu kilichoandikwa kwenye barua hii na kwa sababu ya yale waliyoyaona na yale yaliyowatokea,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu hii sikukuu hizi wakaziita Purimu wakilifuata lile neno la Puri (kura). Kwa ajili ya maneno yote ya barua hiyo na kwa ajili yao, waliyoyaona wenyewe, na kwa ajili yao, wengine waliyowasimulia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo wakaziita siku hizo Purimu, kwa jina la Puri. Basi, kwa ajili ya maneno yote ya barua hiyo, na kwa yale waliyoyaona wenyewe juu ya jambo hilo, na mambo yenyewe yaliyowajia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, wakaita siku hizo Purimu, kutokana na neno puri maana yake kura. Kwa sababu ya barua ya Mordekayi na mambo waliyoyaona wenyewe na yale yaliyowapata,