Esther 9:30 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Barua hiyo waliandikiwa Wayahudi wote, na nakala zake kupelekewa mikoa yote 127 ya utawala wa Ahasuero. Barua hiyo iliwatakia Wayahudi amani na usalama,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Mordekai akatuma barua kwa Wayahudi wote katika majimbo mia moja na ishirini na saba (127) ya ufalme wa Ahasuero, barua zenye maneno ya amani na matumaini,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akapeleka barua kwa Wayahudi wote katika majimbo yote mia na ishirini na saba ya ufalme wake Ahasuero, maneno ya amani na kweli,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Barua hiyo waliandikiwa Wayahudi wote, na nakala zake kupelekewa mikoa yote 127 ya utawala wa Ahasuero. Barua hiyo iliwatakia Wayahudi amani na usalama,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye Mordekai akatuma barua kwa Wayahudi wote katika majimbo 127 ya ufalme wa Ahusuero barua zenye maneno ya amani na matumaini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye Mordekai akatuma barua kwa Wayahudi wote katika majimbo 127 ya ufalme wa Ahasuero, barua zenye maneno ya amani na matumaini,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akatuma hiyo barua kwa Wayuda wote katika yale majimbo 127 ya ufalme wa Ahaswerosi na kuwaambia maneno ya utengemano wa kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akapeleka barua kwa Wayahudi wote katika majimbo yote mia na ishirini na saba ya ufalme wake Ahasuero, maneno ya amani na kweli,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Barua ile iliandikwa kwa Wayuda wote, na mifano ya barua zile kupelekewa katika majimbo yote mia moja makumi mbili na saba ya ufalme wa Ahasuero. Barua ile iliwatakia Wayuda amani na usalama,