Esther 9:32 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amri yake Esta ikathibitisha mambo hayo ya Purimu; ikaandikwa kitabuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amri ya Esta ilithibitisha taratibu hizi kuhusu Purimu, nayo ikaandikwa katika kumbukumbu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amri yake Esta ikayathibitisha mambo hayo ya Purimu; ikaandikwa katika kitabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amri yake Esta ikathibitisha mambo hayo ya Purimu; ikaandikwa kitabuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amri ya Esta ilithibitisha taratibu hizi kuhusu Purimu, nayo ikaandikwa katika kumbukumbu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amri ya Esta ilithibitisha taratibu hizi kuhusu Purimu, nayo ikaandikwa katika kumbukumbu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Amri ya Esteri iliyoyaagiza mambo ya hizo sikukuu za Purimu ikaandikwa katika kitabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amri yake Esta ikayathibitisha mambo hayo ya Purimu; ikaandikwa katika kitabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amri ya Esteri ikahakikisha mambo hayo ya Purimu; ikaandikwa katika kitabu.