Esther 9:5 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Wayahudi waliwashambulia maadui zao kwa upanga, wakawachinja, wakawaangamiza na kuwatenda kama walivyopenda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wayahudi waliwaangusha adui zao wote kwa upanga wakiwaua na kuwaangamiza, nao walifanya kile walichotaka kwa wale waliowachukia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Wayahudi wakawapiga adui zao wote mapigo ya upanga, na machinjo, na maangamizo, wakawatenda kama wapendavyo wale waliowachukia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Wayahudi waliwashambulia maadui zao kwa upanga, wakawachinja, wakawaangamiza na kuwatenda kama walivyopenda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wayahudi waliwaangusha adui zao wote kwa upanga wakiwaua na kuwaangamiza, nao walifanya kile walichotaka kwa wale waliowachukia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wayahudi waliwaangusha adui zao wote kwa upanga wakiwaua na kuwaangamiza, nao walifanya kile walichotaka kwa wale waliowachukia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wayuda wakawapiga adui zao wote mapigo ya panga, wakawaua, wakawaangamiza, wakawafanyizia wachukivu wao, kama walivyopendezwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Wayahudi wakawapiga adui zao wote mapigo ya upanga, na machinjo, na maangamizo, wakawatenda kama wapendavyo wale waliowachukia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Wayuda wakawashambulia waadui zao kwa upanga, wakawachinja, wakawaangamiza na kuwatendea kama walivyopenda.