Esther 9:6 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huko mjini Susa, Wayahudi waliwaua watu 500.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika ngome ya Shushani Wayahudi waliua na kuangamiza wanaume mia tano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata huko Shushani ngomeni Wayahudi wakawaua watu mia tano, na kuwaangamiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huko mjini Susa, Wayahudi waliwaua watu 500.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika ngome ya Shushani Wayahudi waliua na kuangamiza wanaume 500.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika ngome ya Shushani Wayahudi waliua na kuangamiza wanaume 500.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Namo Susani, mlimokuwa na jumba la mfalme, wakaua watu, wakaangamiza watu 500.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata huko Shushani ngomeni Wayahudi wakawaua watu mia tano, na kuwaangamiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kule katika muji wa Susani, Wayuda waliwaua watu mia tano.