Exodus 1:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazawa wote wa Yakobo walikuwa watu 70. Wakati huo Yosefu alikuwa amekwisha tangulia kukaa huko Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazao wote wa Yakobo walikuwa watu sabini; Yusufu alikuwa tayari yuko Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na nafsi zile zote zilizotoka viunoni mwa Yakobo zilikuwa ni nafsi sabini; na huyo Yusufu alikuwa huko ndani ya Misri tangu hapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazawa wote wa Yakobo walikuwa watu 70. Wakati huo Yosefu alikuwa amekwisha tangulia kukaa huko Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazao wote wa Yakobo walikuwa watu sabini; Yosefu alikuwa tayari yuko Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazao wote wa Yakobo walikuwa watu sabini; Yusufu alikuwa tayari yuko Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wale watu wote waliotokana na uzao wa Yakobo walikuwa watu sabini; na huyo Yusufu alikuwa huko ndani ya Misri tangu hapo mwanzo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wazawa wote wa Yakobo walikuwa watu 70. Wakati huo Yosefu alikuwa amekwisha tangulia kukaa huko Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao wote waliotoka viunoni mwa Yakobo walikuwa watu 70. Naye Yosefu alikuwa yuko kule Misri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na nafsi zile zote zilizotoka viunoni mwa Yakobo zilikuwa ni nafsi sabini; na huyo Yusufu alikuwa huko ndani ya Misri tangu hapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wazao wote wa Yakobo walikuwa watu makumi saba. Wakati ule Yosefu alikuwa amekwisha kutangulia kukaa kule Misri.