Exodus 1:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye, Yosefu alifariki, hali kadhalika ndugu zake na kizazi kile chote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Yusufu na kaka zake wote na kizazi kile chote walikufa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yusufu akafa, na ndugu zake wote, na watu wote wa kizazi kile.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye, Yosefu alifariki, hali kadhalika ndugu zake na kizazi kile chote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Yosefu na kaka zake wote na kizazi kile chote walikufa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Yusufu na kaka zake wote na kizazi kile chote walikufa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yusufu akafa, na ndugu zake wote, na watu wote wa kizazi kile.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadaye, Yosefu alifariki, hali kadhalika ndugu zake na kizazi kile chote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosefu alipokwisha kufa na ndugu zake wote nacho hicho kizazi chote,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yusufu akafa, na ndugu zake wote, na watu wote wa kizazi kile.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, Yosefu akakufa, vilevile na wandugu zake na kizazi kile chote.