Exodus 1:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, akatokea mfalme mwingine huko Misri ambaye hakumjua Yosefu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha mfalme mwingine ambaye hakufahamu habari za Yusufu akatawala Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, akatokea mfalme mwingine huko Misri ambaye hakumjua Yosefu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha mfalme mpya, ambaye hakufahamu habari za Yosefu, aliitawala Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mfalme mpya ambaye hakufahamu habari za Yusufu akatawala Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akatokea mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, akatokea mfalme mwingine huko Misri ambaye hakumjua Yosefu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaondokea mfalme mpya asiyemjua Yosefu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, kukatokea mufalme mwingine kule Misri ambaye hakumujua Yosefu.