Exodus 10:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
La hasha! Ni wanaume tu watakaokwenda kumtumikia Mwenyezi-Mungu, maana hilo ndilo mnalotaka.” Hapo Mose na Aroni wakafukuzwa mbele ya Farao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
La hasha! Wanaume peke yao na waende, wakamwabudu Mwenyezi Mungu, kwa kuwa hilo ndilo mmekuwa mkiomba.” Kwa hiyo Musa na Haruni wakaondolewa mbele ya Farao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sivyo; endeni ninyi mlio watu wazima, mkamtumikie Bwana; kwa kuwa ndilo jambo mtakalo. Nao walifukuzwa usoni pa Farao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
La hasha! Ni wanaume tu watakaokwenda kumtumikia Mwenyezi-Mungu, maana hilo ndilo mnalotaka.” Hapo Mose na Aroni wakafukuzwa mbele ya Farao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
La hasha! Wanaume peke yao na waende, wakamwabudu BWANA, kwa kuwa hilo ndilo mmekuwa mkiomba.” Kwa hiyo Mose na Aroni wakaondolewa mbele ya Farao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
La hasha! Wanaume peke yao na waende, wakamwabudu bwana, kwa kuwa hilo ndilo mmekuwa mkiomba.” Kwa hiyo Musa na Haruni wakaondolewa mbele ya Farao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sivyo; endeni ninyi mlio watu wazima, mkamtumikie BWANA; kwa kuwa ndilo jambo mtakalo. Nao walifukuzwa usoni pa Farao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
La hasha! Ni wanaume tu watakaokwenda kumtumikia Mwenyezi-Mungu, maana hilo ndilo mnalotaka.” Hapo Mose na Aroni wakafukuzwa mbele ya Farao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo sivyo! Ila nendeni ninyi waume kumtumikia Bwana! Kwani hii ndiyo, mnayoitaka. Kisha wakawafukuza, watoke usoni pake Farao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sivyo; endeni ninyi mlio watu wazima, mkamtumikie BWANA; kwa kuwa ndilo jambo mtakalo. Nao walifukuzwa usoni pa Farao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haitakuwa vile! Ni wanaume tu watakaokwenda kumutumikia Yawe, maana hilo ndilo munalotaka.” Halafu Musa na Haruni wakafukuzwa toka mbele ya mufalme.