Exodus 10:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo Farao akawaita Mose na Aroni kwa haraka, akawaambia, “Nimetenda dhambi dhidi ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na dhidi yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Farao akawaita Musa na Haruni kwa haraka na kuwaambia, “Nimetenda dhambi dhidi ya Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, na dhidi yenu pia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Farao akawaita Musa na Haruni haraka; akasema, Nimemfanyia dhambi Bwana, Mungu wenu na ninyi pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo Farao akawaita Mose na Aroni kwa haraka, akawaambia, “Nimetenda dhambi dhidi ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na dhidi yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Farao akawaita Mose na Aroni kwa haraka na kuwaambia, “Nimetenda dhambi dhidi ya BWANA Mungu wenu na dhidi yenu pia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Farao akawaita Musa na Haruni kwa haraka na kuwaambia, “Nimetenda dhambi dhidi ya bwana Mwenyezi Mungu wenu na dhidi yenu pia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Farao akawaita Musa na Haruni haraka; akasema, Nimemfanyia dhambi BWANA, Mungu wenu na ninyi pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo Farao akawaita Mose na Aroni kwa haraka, akawaambia, “Nimetenda dhambi dhidi ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na dhidi yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Farao alipomwita kwa upesi Mose na Haroni, akawaambia: Nimemkosea Bwana Mungu wenu, hata ninyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Farao akawaita Musa na Haruni haraka; akasema, Nimemfanyia dhambi BWANA, Mungu wenu na ninyi pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo mufalme wa Misri akaita Musa na Haruni kwa haraka, akawaambia: “Nimetenda zambi mbele ya Yawe, Mungu wenu, na mbele yenu.