Exodus 10:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mose akaondoka kwa Farao, akaenda kumwomba Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Musa akaondoka kwa Farao akamwomba Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatoka kwa Farao, na kumwomba Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mose akaondoka kwa Farao, akaenda kumwomba Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Mose akaondoka kwa Farao akamwomba BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Musa akaondoka kwa Farao akamwomba bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatoka kwa Farao, na kumwomba BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mose akaondoka kwa Farao, akaenda kumwomba Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipotoka kwake Farao, akamwomba Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatoka kwa Farao, na kumwomba BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Musa akaondoka kwa mufalme, akaenda kumwomba Yawe.