Exodus 10:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mose akanyosha mkono wake juu mbinguni, kukawa na giza nene kote nchini Misri kwa muda wa siku tatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Musa akaunyoosha mkono wake kuelekea angani, na giza nene likafunika pote katika nchi ya Misri kwa muda wa siku tatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Musa akaunyosha mkono wake kuelekea mbinguni; kukawa na giza nene katika nchi yote ya Misri muda wa siku tatu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mose akanyosha mkono wake juu mbinguni, kukawa na giza nene kote nchini Misri kwa muda wa siku tatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Mose akaunyosha mkono wake kuelekea angani, na giza nene likafunika pote katika nchi ya Misri kwa muda wa siku tatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Musa akaunyoosha mkono wake kuelekea angani, na giza nene likafunika pote katika nchi ya Misri kwa muda wa siku tatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Musa akaunyosha mkono wake kuelekea mbinguni; kukawa na giza nene katika nchi yote ya Misri muda wa siku tatu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mose akanyosha mkono wake juu mbinguni, kukawa na giza nene kote nchini Misri kwa muda wa siku tatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose alipouinua mkono wake na kuuelekeza mbinguni, kukawa na giza nene katika nchi yote ya Misri siku tatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Musa akaunyosha mkono wake kuelekea mbinguni; kukawa na giza nene katika nchi yote ya Misri muda wa siku tatu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Musa akanyoosha mukono wake juu mbinguni, kukakuwa giza nzito katika inchi yote ya Misri kwa muda wa siku tatu.