Exodus 10:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu hawakuweza kuonana wala kuondoka mahali walipokuwa kwa muda huo wa siku tatu. Lakini Waisraeli wote walikuwa na mwanga huko Gosheni walimokuwa wanakaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna mtu yeyote aliyeweza kumwona mwenzake, wala kuondoka mahali alipokuwa kwa muda wa siku tatu. Lakini Waisraeli wote walikuwa na mwanga katika maeneo waliyokuwa wanaishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hawakupata kuonana mtu na mwenziwe, wala hakuondoka mtu mahali alipokuwa muda wa siku tatu; lakini wana wa Israeli wote walikuwa na mwanga makaoni mwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu hawakuweza kuonana wala kuondoka mahali walipokuwa kwa muda huo wa siku tatu. Lakini Waisraeli wote walikuwa na mwanga huko Gosheni walimokuwa wanakaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna mtu ye yote aliyeweza kumwona mwenzake, wala kuondoka mahali alipokuwa kwa muda wa siku tatu. Lakini Waisraeli wote walikuwa na mwanga katika maeneo yao waliyokuwa wanaishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna mtu yeyote aliyeweza kumwona mwenzake, wala kuondoka mahali alipokuwa kwa muda wa siku tatu. Lakini Waisraeli wote walikuwa na mwanga katika maeneo yao waliyokuwa wanaishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hawakupata kuonana mtu na mwenziwe, wala hakuondoka mtu mahali alipokuwa muda wa siku tatu; lakini wana wa Israeli wote walikuwa na mwanga makaoni mwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu hawakuweza kuonana wala kuondoka mahali walipokuwa kwa muda huo wa siku tatu. Lakini Waisraeli wote walikuwa na mwanga huko Gosheni walimokuwa wanakaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu hakuweza kumwona mwenziwe, wala mtu hakuondoka siku tatu mahali, alipokuwa. Lakini kwao wana wa Israeli kulikuwa na mwanga po pote, walipokaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hawakupata kuonana mtu na mwenziwe, wala hakuondoka mtu mahali alipokuwa muda wa siku tatu; lakini wana wa Israeli wote walikuwa na mwanga makaoni mwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu hawakuweza kuonana wala kuondoka pahali walipokuwa kwa muda ule wa siku tatu. Lakini Waisraeli wote walikuwa na mwangaza kule Goseni walikokuwa wanakaa.