Exodus 10:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose naye akamwambia, “Sawa! Kama ulivyosema sitakuja kukuona tena.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akamjibu, “Iwe kama ulivyosema! Kamwe sitauona uso wako tena.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akasema, Umenena vema; mimi sitakuangalia uso wako tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose naye akamwambia, “Sawa! Kama ulivyosema sitakuja kukuona tena.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akamjibu, “Iwe kama ulivyosema! Kamwe sitauona uso wako tena.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akamjibu, “Iwe kama ulivyosema! Kamwe sitauona uso wako tena.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akasema, Umenena vema; mimi sitakuangalia uso wako tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose naye akamwambia, “Sawa! Kama ulivyosema sitakuja kukuona tena.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akajibu: Na viwe hivyo, ulivyosema, nisiuone tena uso wako mara nyingine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akasema, Umenena vema; mimi sitakuangalia uso wako tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa naye akamwambia: “Sawa! Kama vile ulivyosema sitakuja kukuona tena.”