Exodus 10:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukikataa kuwaacha watu wangu waondoke, basi, kesho nitaleta nzige waivamie nchi yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukikataa kuwaachia waende, kesho nitaleta nzige katika nchi yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Au, kwamba wakataa kuwapa hao watu wangu ruhusa waende zao, tazama, kesho nitaleta nzige waingie ndani ya mipaka yako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukikataa kuwaacha watu wangu waondoke, basi, kesho nitaleta nzige waivamie nchi yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ukikataa kuwaachia waende, kesho nitaleta nzige katika nchi yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ukikataa kuwaachia waende, kesho nitaleta nzige katika nchi yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Au, kwamba wakataa kuwapa hao watu wangu ruhusa waende zao, tazama, kesho nitaleta nzige waingie ndani ya mipaka yako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukikataa kuwaacha watu wangu waondoke, basi, kesho nitaleta nzige waivamie nchi yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani utakapokataa kuwapa ruhusa kwenda zao walio ukoo wangu, utaniona, nikileta nzige kesho katika mipaka yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Au, kwamba wakataa kuwapa hao watu wangu ruhusa waende zao, tazama, kesho nitaleta nzige waingie ndani ya mipaka yako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukikataa kuwaacha watu wangu waondoke, basi, kesho nitaleta nzige washambulie inchi yako.