Exodus 10:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo, Mose na Aroni wakaitwa warudi kwa Farao, naye akawaambia, “Nendeni mkamtumikie Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Lakini, nauliza: Ni kina nani watakaokwenda pamoja nanyi?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Musa na Haruni wakaletwa kwa Farao. Farao akawaambia, “Nendeni, mkamwabudu Mwenyezi Mungu, Mungu wenu. Lakini ni nani hasa watakaoenda?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa na Haruni wakaletwa tena kwa Farao; naye akawaambia, Nendeni, mkamtumikie Bwana, Mungu wenu; lakini ni kina nani watakaokwenda?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo, Mose na Aroni wakaitwa warudi kwa Farao, naye akawaambia, “Nendeni mkamtumikie Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Lakini, nauliza: Ni kina nani watakaokwenda pamoja nanyi?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Mose na Aroni wakaletwa kwa Farao. Farao akawaambia, “Nendeni, mkamwabudu BWANA Mungu wenu. Lakini ni nani hasa watakaokwenda?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Musa na Haruni wakaletwa kwa Farao. Farao akawaambia, “Nendeni, mkamwabudu bwana Mwenyezi Mungu wenu. Lakini ni nani hasa watakaokwenda?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa na Haruni wakaletwa tena kwa Farao; naye akawaambia, Nendeni, mkamtumikie BWANA, Mungu wenu; lakini ni kina nani watakaokwenda?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo, Mose na Aroni wakaitwa warudi kwa Farao, naye akawaambia, “Nendeni mkamtumikie Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Lakini, nauliza: Ni kina nani watakaokwenda pamoja nanyi?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo Mose na Haroni wakarudishwa kwake Farao, naye akawaambia: Nendeni kumtumikia Bwana Mungu wenu! Lakini watakaokwenda ni nani na nani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa na Haruni wakaletwa tena kwa Farao; naye akawaambia, Nendeni, mkamtumikie BWANA, Mungu wenu; lakini ni kina nani watakaokwenda?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo, Musa na Haruni wakaitwa warudi kwa mufalme wa Misri, naye akawaambia: “Muende mumutumikie Yawe, Mungu wenu. Lakini, ninauliza, ni nani watakaokwenda pamoja nanyi?”