Exodus 11:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akamwambia Farao, “Mwenyezi-Mungu asema hivi: ‘Panapo usiku wa manane leo, nitapitia katikati ya nchi ya Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Musa akasema, “Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: ‘Usiku wa manane, Mimi nitapita katika nchi yote ya Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akasema, Bwana asema hivi, Kama usiku wa manane mimi nitatoka nipite kati ya Misri;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akamwambia Farao, “Mwenyezi-Mungu asema hivi: ‘Panapo usiku wa manane leo, nitapitia katikati ya nchi ya Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Mose akasema, “Hili ndilo BWANA asemalo: ‘Panapo usiku wa manane Mimi nitapita katika nchi yote ya Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Musa akasema, “Hili ndilo bwana asemalo: ‘Panapo usiku wa manane Mimi nitapita katika nchi yote ya Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akasema, BWANA asema hivi, Kama usiku wa manane mimi nitatoka nipite kati ya Misri;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akamwambia Farao, “Mwenyezi-Mungu asema hivi: ‘Panapo usiku wa manane leo, nitapitia katikati ya nchi ya Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akasema: Hivi ndivyo, anavyosema Bwana: Usiku wa manane nitatokea katikati ya nchi ya Misri;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akasema, BWANA asema hivi, Kama usiku wa manane mimi nitatoka nipite kati ya Misri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akamwambia mufalme wa Misri: “Yawe anasema hivi: ‘Katikati ya usiku wa leo, nitapitia katikati ya inchi ya Misri.