Exodus 12:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Aroni, walipokuwa bado nchini Misri,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akamwambia Musa na Haruni katika nchi ya Misri,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akanena na Musa na Haruni katika nchi ya Misri, akawaambia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Aroni, walipokuwa bado nchini Misri,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akamwambia Mose na Aroni katika nchi ya Misri,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akamwambia Musa na Haruni katika nchi ya Misri,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akanena na Musa na Haruni katika nchi ya Misri, akawaambia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Aroni, walipokuwa bado nchini Misri,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akamwambia Mose na Haroni katika nchi ya Misri kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akanena na Musa na Haruni katika nchi ya Misri, akawaambia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akamwambia Musa na Haruni, walipokuwa wangali katika inchi ya Misri: