Exodus 12:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hali kadhalika msibakize nyama yoyote mpaka asubuhi. Nyama yoyote itakayobaki hadi asubuhi mtaiteketeza motoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msibakize nyama yoyote hadi asubuhi; nazo kama zitabakia hadi asubuhi, lazima mziteketeze kwa moto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala msisaze kitu chake cho chote hata asubuhi, bali kitu kitakachosalia hata asubuhi mtakichoma kwa moto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hali kadhalika msibakize nyama yoyote mpaka asubuhi. Nyama yoyote itakayobaki hadi asubuhi mtaiteketeza motoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msibakize nyama yo yote mpaka asubuhi; nazo kama zitabakia mpaka asubuhi, lazima mziteketeze kwa moto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msibakize nyama yoyote mpaka asubuhi; nazo kama zitabakia mpaka asubuhi, lazima mziteketeze kwa moto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala msisaze kitu chake chochote hata asubuhi, bali kitu kitakachosalia hata asubuhi mtakichoma kwa moto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hali kadhalika msibakize nyama yoyote mpaka asubuhi. Nyama yoyote itakayobaki hadi asubuhi mtaiteketeza motoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wala mzisaze nyama nyingine hata asubuhi! Ila zitakazosalia hata asubuhi mziteketeze kwa moto!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala msisaze kitu chake cho chote hata asubuhi, bali kitu kitakachosalia hata asubuhi mtakichoma kwa moto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile musiache nyama yoyote mpaka asubui. Nyama yoyote itakayobaki mpaka asubui mutaiteketeza kwa moto.