Exodus 12:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shikeni jambo hilo nyinyi na wazawa wenu kama agizo la milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Shikeni maagizo haya yawe kanuni ya kudumu kwenu na kwa ajili ya wazao wenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi mtalitunza jambo hili kuwa ni amri kwako na kwa wanao milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shikeni jambo hilo nyinyi na wazawa wenu kama agizo la milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Shikeni maagizo haya kuwa kanuni ya kudumu kwenu na kwa ajili ya wazao wenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Shikeni maagizo haya yawe kanuni ya kudumu kwenu na kwa ajili ya wazao wenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi mtalitunza jambo hili kuwa ni amri kwako na kwa wanao milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shikeni jambo hilo nyinyi na wazawa wenu kama agizo la milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalo neno hili sharti mliangalie kuwa maongozi yako na ya wanao kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi mtalitunza jambo hili kuwa ni amri kwako na kwa wanao milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mushike jambo hili ninyi na wazao wenu kama agizo la milele.