Exodus 12:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtakapoingia katika nchi ile ambayo mimi Mwenyezi-Mungu nitawapa, kama nilivyoahidi, ni lazima kulitekeleza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtakapoingia katika nchi Mwenyezi Mungu atakayowapa kama alivyoahidi, shikeni desturi hii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Itakuwa hapo mtakapoifikilia hiyo nchi, Bwana atakayowapa, kama alivyoahidi, ndipo mtakapoushika utumishi huu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtakapoingia katika nchi ile ambayo mimi Mwenyezi-Mungu nitawapa, kama nilivyoahidi, ni lazima kulitekeleza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtakapoingia katika nchi BWANA atakayowapa kama alivyoahidi, shikeni desturi hii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtakapoingia katika nchi bwana atakayowapa kama alivyoahidi, shikeni desturi hii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Itakuwa hapo mtakapoifikia hiyo nchi, BWANA atakayowapa, kama alivyoahidi, ndipo mtakapoushika utumishi huu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtakapoingia katika nchi ile ambayo mimi Mwenyezi-Mungu nitawapa, kama nilivyoahidi, ni lazima kulitekeleza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Napo hapo, mtakapoingia katika hiyo nchi, Bwana atakayowapa, kama alivyosema, sharti mwuangalie utumishi huu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Itakuwa hapo mtakapoifikilia hiyo nchi, BWANA atakayowapa, kama alivyoahidi, ndipo mtakapoushika utumishi huu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutakapoingia katika inchi ile ambayo Yawe atawapa, kama alivyoahidi, munapaswa kulitimiza.