Exodus 12:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila wakati watoto wenu watakapowauliza, ‘Jambo hili lina maana gani?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watoto wenu watakapowauliza, ‘Sikukuu hii ina maana gani kwenu?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha itakuwa, hapo watoto wenu watakapowauliza, N'nini maana yake utumishi huu kwenu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila wakati watoto wenu watakapowauliza, ‘Jambo hili lina maana gani?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watoto wenu watakapowauliza, ‘Sikukuu hii ina maana gani kwenu?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watoto wenu watakapowauliza, ‘Sikukuu hii ina maana gani kwenu?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha itakuwa, hapo watoto wenu watakapowauliza, Ni nini maana yake utumishi huu kwenu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila wakati watoto wenu watakapowauliza, ‘Jambo hili lina maana gani?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena hapo, wana wenu watakapowauliza: Huu utumishi wenu maana yake nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha itakuwa, hapo watoto wenu watakapowauliza, N’nini maana yake utumishi huu kwenu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila wakati watoto wenu watakapowauliza: ‘Jambo hili lina maana gani?’,