Exodus 12:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Waisraeli wakaenda, wakafanya kama walivyoambiwa na Mose na Aroni kulingana na amri ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli wakafanya kama vile Mwenyezi Mungu alivyomwagiza Musa na Haruni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wana wa Israeli wakaenda na kufanya mambo hayo; vile vile kama Bwana alivyowaamuru Musa na Haruni, ndivyo walivyofanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Waisraeli wakaenda, wakafanya kama walivyoambiwa na Mose na Aroni kulingana na amri ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli wakafanya kama vile BWANA alivyomwagiza Mose na Aroni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli wakafanya kama vile bwana alivyomwagiza Musa na Haruni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wana wa Israeli wakaenda na kufanya mambo hayo; vile vile kama BWANA alivyowaamuru Musa na Haruni, ndivyo walivyofanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Waisraeli wakaenda, wakafanya kama walivyoambiwa na Mose na Aroni kulingana na amri ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wana wa Isiraeli wakaenda, wakafanya, kama Bwana alivyomwagiza Mose na Haroni; hivyo ndivyo, walivyofanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wana wa Israeli wakaenda na kufanya mambo hayo; vile vile kama BWANA alivyowaamuru Musa na Haruni, ndivyo walivyofanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Waisraeli wakaenda, wakafanya kama vile walivyoambiwa na Musa na Haruni kulingana na amri ya Yawe.