Exodus 12:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chukueni makundi yenu ya kondoo na ng'ombe, mwondoke; niombeeni na mimi baraka.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chukueni makundi yenu ya kondoo na mbuzi pamoja na ng’ombe, kama mlivyosema, nanyi mwende zenu. Nanyi pia mnibariki.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Twaeni kondoo zenu na ng'ombe zenu kama mlivyosema, enendeni zenu, mkanibariki mimi pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chukueni makundi yenu ya kondoo na ng'ombe, mwondoke; niombeeni na mimi baraka.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Chukueni makundi yenu ya kondoo na mbuzi pamoja na ng'ombe, kama mlivyosema, nanyi mwende zenu. Nanyi pia mnibariki.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chukueni makundi yenu ya kondoo na mbuzi pamoja na ng’ombe, kama mlivyosema, nanyi mwende zenu. Nanyi pia mnibariki.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Twaeni kondoo zenu na ng'ombe zenu kama mlivyosema, nendeni zenu, mkanibariki mimi pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chukueni makundi yenu ya kondoo na ng'ombe, mwondoke; niombeeni na mimi baraka.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao mbuzi na kondoo na ng'ombe wenu wachukueni, kama mlivyosema! Haya! Nendeni, mnibariki nami!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Twaeni kondoo zenu na ng’ombe zenu kama mlivyosema, enendeni zenu, mkanibariki mimi pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutwae makundi yenu ya kondoo na ngombe, muondoke. Muniombee na mimi baraka.”