Exodus 12:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli walikuwa wamekwisha fanya kama Mose alivyowaagiza hapo awali: Waliwaomba Wamisri wawapatie vito vya fedha, dhahabu na mavazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli wakafanya kama Musa alivyowaelekeza, nao wakawaomba Wamisri wawapatie vitu vya fedha, dhahabu na mavazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Israeli wakafanya kama neno lile la Musa; wakataka kwa Wamisri vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu, na mavazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli walikuwa wamekwisha fanya kama Mose alivyowaagiza hapo awali: waliwaomba Wamisri wawapatie vito vya fedha, dhahabu na mavazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli wakafanya kama Mose alivyowaelekeza, nao wakawaomba Wamisri wawapatie vitu vya fedha, dhahabu na nguo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli wakafanya kama Musa alivyowaelekeza, nao wakawaomba Wamisri wawapatie vitu vya fedha, dhahabu na nguo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Israeli wakafanya kama Musa alivyowaagiza; wakataka kwa Wamisri vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu, na mavazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli walikuwa wamekwisha fanya kama Mose alivyowaagiza hapo awali: Waliwaomba Wamisri wawapatie vito vya fedha, dhahabu na mavazi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Isiraeli walikuwa wameyafanya, Mose aliyowaambia, wakiwatakia Wamisri vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu na nguo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Israeli wakafanya kama neno lile la Musa; wakataka kwa Wamisri vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu, na mavazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli walikuwa wamekwisha kufanya kama vile Musa alivyowaagiza pale mbele. Waliwaomba Wamisri wawapatie vyombo vya feza na zahabu na nguo.