Exodus 12:41 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika siku ya mwisho ya mwaka wa 430, siku hiyohiyo maalumu ndipo makabila yote ya Mwenyezi-Mungu yaliondoka nchini Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ya mwisho ya hiyo miaka mia nne na thelathini (430), vikosi vyote vya Mwenyezi Mungu viliondoka Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ilikuwa mwisho wa miaka hiyo mia nne na thelathini, ilikuwa siku ile ile, ya kwamba majeshi yote ya Bwana yalitoka nchi ya Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika siku ya mwisho ya mwaka wa 430, siku hiyohiyo maalumu ndipo makabila yote ya Mwenyezi-Mungu yaliondoka nchini Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ilikuwa ni siku ya mwisho ya hiyo miaka 430, vikosi vyote vya BWANA vilipokuwa vimeondoka Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilikuwa ni siku ya mwisho ya hiyo miaka 430, vikosi vyote vya bwana vilipokuwa vimeondoka Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ilikuwa mwisho wa miaka hiyo mia nne na thelathini, ilikuwa siku ile ile, majeshi yote ya BWANA yalitoka nchi ya Misri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika siku ya mwisho ya mwaka wa 430, siku hiyohiyo maalumu ndipo makabila yote ya Mwenyezi-Mungu yaliondoka nchini Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hii miaka 430 ilipokwisha pita, siku iyo hiyo vikosi vyote vya Bwana vilitoka katika nchi ya Misri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ilikuwa mwisho wa miaka hiyo mia nne na thelathini, ilikuwa siku ile ile, ya kwamba majeshi yote ya BWANA yalitoka nchi ya Misri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika siku ya mwisho ya mwaka wa mia ine na makumi tatu, siku ileile ndipo makabila yote ya Yawe yaliondoka katika inchi ya Misri.